Nenda kwa yaliyomo

Internazionale Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Inter Milan)
Mashabiki wa Inter milan kwenye fainali ya UEFA kwenye Uwanja wa michezo wa Santiago Bernabéu.

Internazionale Milano, maarufu kama Inter au Inter Milan kwa wasio Wataliano, ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo Milano nchini Italia. Ni moja ya timu zinazoheshimika duniani. Timu hiyo ilianzishwa mwaka 1908 na mashabiki wa AC Milan ambao walitaka timu iruhusu wachezaji wa kigeni ndiyo maana ikapata jina la Internazionale (yaani: Ya kimataifa).

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Internazionale Milano kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.