Jump to content

User:Chedee boy

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sufian Chediel (amezaliwa tar. 24 Julai, 1994) ni mtangazaji, mwandishi wa habari na mwanablogu kutoka nchini Tanzania. Chedee anafahamika sana kupitia blogu yake ya ChedeeMedia.com na kurasa zake mitandaoni zinazofahamika kwa jina la Chedee Media. Alianza kutambulika baada ya kuanzisha blogu yake mwaka 2015. Chedee vilevile ana idhaa katika Youtube inaitwa Chedee Tv. Idhaa inatoa habari mbalimbali na inatenda kama TV Mtandaoni.