Albin Dunajewski
Mandhari
Albin Dunajewski (Stanisławów, 1 Machi 1817- Kraków, 19 Juni 1894) alikuwa Askofu wa Kraków, Polandi, na kardinali; pia alikuwa mtetezi wa misaada ya kijamii na mhamasishaji maarufu wa shughuli za kijamii.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Historia Parafii (Parish history)". Kościół i parafia (The Church) (kwa Polish). Rzymskokatolicka Parafia Księży Misjonarzy sw Wincentego a Paulo. Iliwekwa mnamo Desemba 25, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |