Nenda kwa yaliyomo

Angela Merichi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Angela Merichi

Angela Merichi (Desenzano, Brescia, 21 Machi 1474 – Brescia, 27 Januari 1540) alikuwa bikira wa kaskazini mwa Italia ambaye, akifuata kanuni ya Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, alikusanya pamoja wasichana, ambao aliwafundisha kutenda matendo ya huruma.

Mwaka 1535, huko Brescia, alianzisha shirika la Waursula, chama cha wanawake waliojishughulisha kuwafundisha wasichana maskini jinsi ya kuwa Wakristo wema [1].

Ametambuliwa na Papa Klementi XIII kuwa mwenye heri tarehe 30 Aprili 1768, halafu na Papa Pius VII kuwa mtakatifu tarehe 24 Mei 1807.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 34
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 28-29
  • Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 44

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • Q. Mazzonis, "The Impact of Renaissance Gender-Related Notions on the Female Experience of the Sacred: The Case of Angela Merici's Ursulines," in Laurence Lux-Sterritt and Carmen Mangion (eds), Gender, Catholicism and Spirituality: Women and the Roman Catholic Church in Britain and Europe, 1200-1900 (Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2011),

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.