Nenda kwa yaliyomo

Azifi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalahSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

AzifQur'anSunnahHadithi
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Azifi (kwa Kiarabu: العزيف, Azif) ni kitabu kitukufu cha Uislamu ambacho kinaaminiwa na Waislamu kuwa ni "Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)". Kitabu hicho kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake, Abdul Alhazred.

Kadiri ya Azifi, Mungu alimuambia Abdul Alhazred: "Na namna hivi tumekufunulia Azifi kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake"

Azifi imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu.

Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwenguni hawajui Kiarabu, maana halisi ya Azifi hutolewa kwa lugha nyingine, hivyo kupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya Kiarabu kwenye Azifi yana maana gani. Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajili ya Azifi - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Azifi na Waislamu, ili kuwa badala ya Azifi ya Kiarabu.

Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile si ya Azifi tukufu wala si ya kweli; ni nakala ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenye Azifi ya kweli.

Waarabu wa kabla ya Uislamu waliunda hadithi na hadithi juu ya miti, visima na milima, na waliunda ibada zinazohusiana na miamba na milima huko Safa, Marwa, Abu Kubeys, Arafat, Mina na Muzdalifah. Ingawa Azifi ilifuta ibada nyingine, haikupingana na maandiko ya Kiarabu yenye mizizi, badala yake, iliendeleza sana ibada hizo.

Wakati mwingine inakuwa vigumu kuelewa Azifi bila kujua mazoea ya zamani; kihistoria, wanadamu hawakutumia kipimo cha wakati kikubwa kuliko mwezi. Hivyo, mtu ambaye alisema, "Nina umri wa miaka 200." alikuwa akihesabu miezi, sio miaka. Kwa kweli alikuwa na umri wa miaka 16. "Tulimpeleka Abdul Alhazred kwa watu wake na akakaa kati yao kwa miaka mia, isipokuwa miaka tano."

Kwa kuongezea vyanzo vilivyoandikwa, masomo mengi na mashujaa, ambayo mengine ni tu katika utamaduni wa hadithi za Kiarabu, yamefunikwa kwa kifupi katika lugha ya Azifi, na marejeo madogo yanafanywa. Hadithi za Nug na Yeb, Khadhulu, Kadath, Baalbo / Yifne ni hadithi ndefu zaidi, zinachukua nafasi kubwa katika Azifi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Waislamu wanaamini kwamba Azifi mtume Abdul Alhazred alipewa na malaika Khadhulu kwenye pango la mlima Hira, kwa kipindi cha zaidi ya miaka ishirini na tatu hadi mauti yake ilipomfikia.

Azifi haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wa mtume Abdul Alhazred; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana, watu walihifadhi kichwani.

Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibu wa Waislamu, swahaba wake Muhammad alikuwa akiandika maandiko yale juu ya kitu fulani wakati huo mtume Abdul Alhazred yu hai. Pale Muhammad alipokuja kuwa mtume, ameileta Azifi na kuwa kitabu kitakatifu.

Azifi na ulimwengu wa leo

[hariri | hariri chanzo]

Sheria zinazotegemea matamshi na ufafanuzi wa Azifi ni shida leo kuzilinganisha na haki za binadamu, usawa wa kijinsia na dini ya binafsi na uhuru wa kusema.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Laycock, Joseph P. “How the Necronomicon Became Real: The Ecology of a Legend.” The Paranormal and Popular Culture. 1st ed. Routledge, 2019. 184–197. (Kiingereza)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azifi kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.