Nenda kwa yaliyomo

Bruce Springsteen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bruce Springsteen (2005).

Bruce Frederick Joseph Springsteen (amezaliwa 23 Septemba 1949) ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji na mpigaji gitaa wa Marekani. Amefanya rekodi nyingi tu, na huwa anafanya safari za kimuziki akiwa pamoja na bendi yake ya muziki iitwayo E Street Band.

Albamu na chati iliyoshika (US Billboard 200):

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Springsteen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.