Draft:Deejaysosy
Submission declined on 26 April 2025 by Spiderone (talk). This submission is not adequately supported by reliable sources. Reliable sources are required so that information can be verified. If you need help with referencing, please see Referencing for beginners and Citing sources.
Where to get help
How to improve a draft
You can also browse Wikipedia:Featured articles and Wikipedia:Good articles to find examples of Wikipedia's best writing on topics similar to your proposed article. Improving your odds of a speedy review To improve your odds of a faster review, tag your draft with relevant WikiProject tags using the button below. This will let reviewers know a new draft has been submitted in their area of interest. For instance, if you wrote about a female astronomer, you would want to add the Biography, Astronomy, and Women scientists tags. Editor resources
| ![]() |
Deejaysosy
Anaitwa Sospeter Anthony Nkwaje (Maarufu kama Deejaysosy) alizaliwa Katika Hospitali Ya Bugando Mkoani Mwanza Tarehe 08 mwezi wa 03 Mwaka 1991
Alianza Shule ya msingi Isenga iliyopo jiji la mwanza mwaka 1999 na kuhitimu elimu ya shule ya msingi mwaka 2005 na baadae hakufanikiwa kuendelea na elimu ya msingi na kurudia shule ya msingi tena mwaka 2006 katika shule ya msingi Bwiru na kuhitimu kwa mara ya pili mnamo mwaka 2007 na kufanikiwa kufaulu na kuingia kidato cha kwanza mwaka 2008 na kuhitimu kidato cha nne mnamo mwaka 2011 katika shule ya sekondari Mnarani iliyopo Bwiru Jijini mwanza
WASIFU
Alianza shughuli yake ya kupiga mziki mwaka 2012 katika mitaa mbalimbali ya jiji la mwanza na kuamua kwenda kwenye chuo Cha Madj kilichokuwa mwanza Pasiansi (Simba scratch dj) kilichokuwa kikimilikiwa na dj Simba wa kituo cha matangazo cha RFA Mwanza Baada ya hapo alifungua blogu ya kusapoti wasanii wa nje na ndani ya Mwanza na duniani kote mnamo mwaka 2015 na kuwa maarufu nchini Tanzania Na blogu yake ilijulikana kwa jina la Deejaysosy.com na kuweza kuwa maarufu zaidi kwa mkoa mzima wa mwanza na tanzania kwa ujumla.