Nenda kwa yaliyomo

Kibutsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibutsi cha Kfar Masaryk.

Kibutsi (kwa Kiebrania: קיבוץ , קִבּוּץ) ni jumuia ya wakulima Wayahudi. Siku hizi vibutsi viko Israeli. Ilikuwa nyendo muhimu ya historia ya Wayahudi. Vibutsi huendeshwa na dhana za Uzayuni na ujamaa. Kwa sasa idadi ya wanakibutsi imepungua.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibutsi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.