Pixel 6
Mandhari
Pixel 6 na Pixel 6 Pro ni simu za Android zilizobuniwa, kutengenezwa, na kusambazwa na Google kama sehemu ya bidhaa za Google Pixel. Zinachukua nafasi ya Pixel 5. Simu hizi zilionyeshwa kwa mara ya kwanza Agosti 2021, na kuthibitisha taarifa kwamba zitakuwa na chipu maalum ya Google Tensor. Kamera za simu hizi zimewekwa kwenye bar ya mlalo nyuma ya simu, huku mbele kukiwa na notch ya hole-punch katikati. Zilikuja na Android 12, na Google ilitangaza vipengele vingi vya akili bandia na kompyuta ya mazingira wakati wa uzinduzi wa simu hizi[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pixel 6 Tech Specs". Google Store. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 19, 2021. Iliwekwa mnamo Oktoba 19, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |