Nenda kwa yaliyomo

Tilone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu mnamotunzwa masalia yake.

Tilone (pia: Thillon, Tillon, Til, Theau, Théau, Tillo, Tilman, Tillmann, Thielmann; Westfalen, leo nchini Ujerumani, 608 - Solignac, leo nchini Ufaransa, 702) alikuwa mtumwa halafu mwanafunzi wa Eligius wa Noyon [1].

Kisha kuongokea Ukristo, alipata kuwa mmonaki huko Solignac karibu na Limoges katika mkoa wa Akwitania, padri, mmisionari [2] na hatimaye askofu wa Tournai, halafu akaenda kuishi pangoni kama mkaapweke[3][4].

Baada ya kuanzisha huko monasteri kwa wafuasi wake 30, alirudi Solignac[5].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu [6].

Sikukuu yake ni tarehe 7 Januari[7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Baring-Gould, Sabine (1897), The Lives Of The Saints, juz. la 1, January, London: J. C. Nimmo, iliwekwa mnamo 2021-08-22
  • Butler, Alban (1798), The Lives of the Primitive Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, juz. la I, Edinburgh: J. Moir, iliwekwa mnamo 2021-08-24
  • Rabenstein, Katherine I (1998), "Tillo of Solignac", Saints of the Day, iliwekwa mnamo 2021-08-24 – kutoka CatholicSaints.Info
  • Saint Théau (kwa Kifaransa), Commune du Vigen, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-24, iliwekwa mnamo 2021-08-24
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-08-24
  • Vies des Saints du diocèse de Limoges, t. 1, p. 74-83
  • Supplément aux vies des Pères, etc., pour les Saints du diocèse de Limoges, p. 36-40
  • Abbé Chabau, « Til : Abbé de Solignac », dans Bulletin de la Société scientifique historique et archéologique de la Corrèze, t. ix, Société scientifique, historique et archéologique de la Corrèze, 1887, p. 577-617
  • « Stadlers Heiligen-Lexikon: Tillo (Tillmann) von Solignac - Ökumenisches Heiligenlexikon », katika www.heiligenlexikon.de
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.